Surat An-Naml, aya 79

27:79

فَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۖ إِنَّكَ عَلَى ٱلۡحَقِّ ٱلۡمُبِينِ ٧٩

Fatawakkal 'alallāhi innaka 'alal-haqqil-mubīn

Basi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi. 79

Maelezo ya chini

79 Basi, ewe Mtume, mtegemezee mambo yako Mwenyezi Mungu, na shikilia wito wako kwa kuamini kuwa utashinda tu, kwa sababu wewe uko juu ya Haki iliyo wazi, na mapuuza ya makafiri kukupuuza wewe hakutakudhuru kitu.