قُلۡ عَسَىٰٓ أَن يَكُونَ رَدِفَ لَكُم بَعۡضُ ٱلَّذِي تَسۡتَعۡجِلُونَ ٧٢
Qul 'asā an yakūna radifa lakum ba'dul-ladhī tasta'jilūn
Sema: Asaa ni karibu kukufikieni sehemu ya yale mnayo yahimiza. 72
Maelezo ya chini
72 Ewe Mtume! Sema: Huenda ikakukuteni, na imekukaribieni baadhi ya adhabu mnayo ihimiza.