فَأَصَابَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا عَمِلُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ٣٤
Fa asābahum sayyi'ātu mā 'amilū wahāqa bihim mā kānū bihī yastahzi'ūn
Basi ukawafikia uovu wa waliyo yatenda, na waliyo kuwa wakiyakejeli yakawazunguka. 34
Maelezo ya chini
34 Yakawasibu malipo ya maovu waliyo yatenda, na adhabu waliyo kuwa wakiikanya na kuikejeli ikawazunguka.