ثُمَّ أَنشَأۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِمۡ قَرۡنًا ءَاخَرِينَ ٣١
Thumma ansha'nā mim ba'dihim qarnan ākharīn
Kisha baada yao, tukanzisha kizazi kingine. 31
Maelezo ya chini
31 Tena baada ya kaumu ya Nuhu tukaumba namna ya watu wengine, na wao ni A'adi.