فَمَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُفۡلِحُونَ ١٠٢
Faman thaqulat mawāzīnuhū fa ulā'ika humul-muflihūn
Ama wale ambao mizani zao zitakuwa nzito, hao ndio wenye kufanikiwa. 102
Maelezo ya chini
102 A'mali (Vitendo) ndio mizani ya kupimia. Mwenye Imani nzuri na vitendo vyema atakuwa na uzito katika mizani ya Mwenyezi Mungu. Hao ndio walio fuzu.