إِذَآ أُلۡقُواْ فِيهَا سَمِعُواْ لَهَا شَهِيقٗا وَهِيَ تَفُورُ ٧
Idhā ulqū fīhā sami'ū lahā shahīqan wahiya tafūr
Watakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake na huku inafoka. 7
Maelezo ya chini
7 Wakitiwa humo watasikia sauti mbaya ya kuchusha, na huo moto unatokota kwa ukali,