Surat Al-Kahf, aya 97

18:97

فَمَا ٱسۡطَٰعُوٓاْ أَن يَظۡهَرُوهُ وَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ لَهُۥ نَقۡبٗا ٩٧

Famastā'ū an yazharūhu wamastatā'ū lahū naqbā

Basi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa. 97

Maelezo ya chini

97 Basi wale mahasidi hawakuweza kulikwea lile boma, jinsi lilivyo kwenda juu, wala kulitoboa kwa ugumu wake.