فَأَرَدۡنَآ أَن يُبۡدِلَهُمَا رَبُّهُمَا خَيۡرٗا مِّنۡهُ زَكَوٰةٗ وَأَقۡرَبَ رُحۡمٗا ٨١
Fa aradnā an yubdilahumā rabbuhumā khayram minhu zakawātan wa aqraba ruhmā
Basi tulitaka Mola wao Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma. 81
Maelezo ya chini
81 Basi tukataka kwa kumuuwa huyo mtoto Mwenyezi Mungu awape badala yake aliye bora zaidi kwa dini, na mwema zaidi, na mwenye huruma.