Surat Al-Kahf, aya 100

18:100

وَعَرَضۡنَا جَهَنَّمَ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡكَٰفِرِينَ عَرۡضًا ١٠٠

Wa'aradnā jahannama yawma'idhil lil-kāfirīna 'ardā

Na siku hiyo tutawadhihirishia wazi Jahannamu makafiri waione. 100

Maelezo ya chini

100 Na hapo Mwenyezi Mungu atawaonyesha wazi makafiri Jahannamu iwatie kitisho na awatumbukize humo.