ٱنظُرۡ كَيۡفَ ضَرَبُواْ لَكَ ٱلۡأَمۡثَالَ فَضَلُّواْ فَلَا يَسۡتَطِيعُونَ سَبِيلٗا ٤٨
Unzur kayfa darabū lakal-amthāla fadallū falā yastatī'ūna sabīlā
Tazama vipi wanavyo kupigia mifano. Basi wamepotea. Kwa hivyo hawawezi kuipata njia. 48
Maelezo ya chini
48 Hebu angalia vipi walivyo kushabihisha; wamekushabihisha na mtu aliye rogwa, na wakakuita kohani, mtunga mashairi, wakaipotea njia ya hoja. Kwa hivyo wasiweze kupata njia ya kuzua tusi linalo kubalika, au kwa hivyo wakaukosa uwongofu, na wasiipate njia ya kuufikilia.