Surat Al-Imran, aya 158

3:158

وَلَئِن مُّتُّمۡ أَوۡ قُتِلۡتُمۡ لَإِلَى ٱللَّهِ تُحۡشَرُونَ ١٥٨

Wala'im muttum aw qutiltum la ilallāhi tuhsharūn

Na mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa. 158

Maelezo ya chini

158 Na lau mtakufa au mtauliwa katika Jihadi hazitopotea bure a'mali zenu, kwani mtakusanywa kwa Mwenyezi Mungu akulipeni kwa Jihadi yenu na ikhlasi yenu.