Surat Al-Imran, aya 141

3:141

وَلِيُمَحِّصَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَيَمۡحَقَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ١٤١

Waliyumahhisallāhul-ladhīna āmanū wayamhaqal-kāfirīn

Na pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri. 141

Maelezo ya chini

141 Kwa huku kushindwa kwa muda, Mwenyezi Mungu anawasafisha jamaa Waumini, na anawat'ahirisha kutokana na wale wenye nyoyo mbaya na imani dhaifu, na wenye kueneza moyo wa kushindwa na wasiwasi; na kwa hivyo ndio anaung'olea mbali ukafiri na makafiri wenyewe pia.