فَٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡ وَإِنَّهُمَا لَبِإِمَامٖ مُّبِينٖ ٧٩
Fantaqamnā minhum wa innahumā labi'imāmim mubīn
Kwa hivyo tukawaadhibu. Na nchi mbili hizi ziko kwenye njia iliowazi. 79
Maelezo ya chini
79 Tukawateremshia nakama yetu. Na mabaki yao yapo njiani yanaonekana, na mpita njia akiwa ni mtu wa Imani basi anaweza kuzingatia kwayo.