Surat Al-Hijr, aya 7

15:7

لَّوۡمَا تَأۡتِينَا بِٱلۡمَلَٰٓئِكَةِ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ٧

Llawmā ta'tīnā bil-malā'ikati in kunta minas-sādiqīn

Mbona hutuletei Malaika ikiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli? 7

Maelezo ya chini

7 Na hadi ya ukafiri wao walizidisha juu ya matusi hayo na kejeli kwa kusema: Laiti badala ya hicho Kitabu kilicho teremshwa ungeli tuletea Malaika wakawa ndio hoja yenyewe, kama wewe ni msema kweli miongoni mwa wenye kusema kweli!