Surat Al-Hijr, aya 48

15:48

لَا يَمَسُّهُمۡ فِيهَا نَصَبٞ وَمَا هُم مِّنۡهَا بِمُخۡرَجِينَ ٤٨

Lā yamassuhum fīhā nasabun wamā hum minhā bimukhrajīn

Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo. 48

Maelezo ya chini

48 Hawapatwi na machofu huko. Na hiyo ni neema ya daima, wala hawatotoka humo milele.