Surat Al-Hijr, aya 43

15:43

وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمَوۡعِدُهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٤٣

Wa inna jahannama lamaw'iduhum ajma'īn

Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote. 43

Maelezo ya chini

43 Na hakika Moto mkali mno ndio wameahidiwa hao wote kuwa ndiyo adhabu ya kutia uchungu.