Surat Al-Hijr, aya 40

15:40

إِلَّا عِبَادَكَ مِنۡهُمُ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ٤٠

Illā 'ibādaka minhumul-mukhlasīn

Ila waja wako walio safika. 40

Maelezo ya chini

40 Wala hawatoepukana na upotovu wangu ila wale waja wako walio kufanyia ikhlasi Wewe na nisio weza kuzimiliki nyoyo zao kwa zilivyo kuwa imara kwa kukumbuka Wewe.