Surat Al-Hijr, aya 4

15:4

وَمَآ أَهۡلَكۡنَا مِن قَرۡيَةٍ إِلَّا وَلَهَا كِتَابٞ مَّعۡلُومٞ ٤

Wamā ahlaknā min qaryatin illā walahā kitābum ma'lūm

Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu. 4

Maelezo ya chini

4 Na ikiwa wao wanataka wateremshiwe adhabu ya duniani, kama Mwenyezi Mungu alivyo wateketeza walio kuwa kabla yao, basi wajue kuwa Mwenyezi Mungu hauteketezi mji wowote ila kwa wakati wake maalumu.