Surat Al-Hijr, aya 37

15:37

قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلۡمُنظَرِينَ ٣٧

Qāla fa innaka minal-munzarīn

(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 37

Maelezo ya chini

37 Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Wewe utabakishwa, umepewa muhula,