Surat Al-Hajj, aya 43

22:43

وَقَوۡمُ إِبۡرَٰهِيمَ وَقَوۡمُ لُوطٖ ٤٣

Waqawmu ibrāhīma waqawmu lūt

Na watu wa Ibrahim na watu wa Lut'i 43

Maelezo ya chini

43 Na kaumu ya Ibrahim walimkanusha Mtume wao Ibrahim, na kaumu Lut'i walimfanyia hayo hayo Mtume wao Lut'i.