Surat Al-Hajj, aya 21

22:21

وَلَهُم مَّقَٰمِعُ مِنۡ حَدِيدٖ ٢١

Walahum maqāmi'u min hadīd

Na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma. 21

Maelezo ya chini

21 Na pia wataandaliwa marungu ya chuma.