Surat Al-Furqan, aya 12

25:12

إِذَا رَأَتۡهُم مِّن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ سَمِعُواْ لَهَا تَغَيُّظٗا وَزَفِيرٗا ١٢

Idhā ra'athum mim makāni ba'īdin sami'ū lahā taghayyuzan wazafīrā

Ule Moto ukiwaona tangu mahali mbali wao watasikia hasira yakena mngurumo wake. 12

Maelezo ya chini

12 Wakiuona Moto, na huo Moto ukawaona, wataisikia sauti yenye hasira, yenye hamu kuwateketeza. Na katika hayo ni mfano wa mingurumo inayo toka kifuani mwa aliye kasirika kuwa ni alama ya ukali alio nao.