Surat Al-Baqarah, aya 52

2:52

ثُمَّ عَفَوۡنَا عَنكُم مِّنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ٥٢

Thumma 'afawnā 'ankum mim ba'di dhālika la'allakum tashkurūn

Kisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru. 52

Maelezo ya chini

52 Kisha tukakusameheni na tukaifuta adhabu yenu mlipo tubu na mkapata msamaha kwa dhambi zenu, ili mpate kumshukuru Mola Mlezi wenu kwa huko kufuta kwake makosa yenu, na kusamehe kwake, na fadhila zake.