Surat Al-A'raf, aya 25

7:25

قَالَ فِيهَا تَحۡيَوۡنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنۡهَا تُخۡرَجُونَ ٢٥

Qāla fīhā tahyawna wafīhā tamūtūna waminhā tukhrajūn

Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa 25

Maelezo ya chini

25 Katika ardhi mnazaliwa, na mnaishi, na humo mnakufa na kuzikwa. Na kutoka huko mtatolewa wakati wa kufufuliwa.