وَمِمَّنۡ خَلَقۡنَآ أُمَّةٞ يَهۡدُونَ بِٱلۡحَقِّ وَبِهِۦ يَعۡدِلُونَ ١٨١
Wamimman khalaqnā ummatun yahdūna bil-haqqi wabihī ya'dilūn
Na katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu. 181
Maelezo ya chini
181 Na katika tulio wajaalia waingie Peponi wapo wanao waita wengineo kwenye Haki kwa kuipenda Haki, na kwa Haki tu wanafanya uadilifu katika hukumu zao.