Surat Al-A'raf, aya 125

7:125

قَالُوٓاْ إِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا مُنقَلِبُونَ ١٢٥

Qālū innā ilā rabbinā munqalibūn

Wakasema: Sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. 125

Maelezo ya chini

125 Nao hawakuibali kauli yake wala vitisho vyake, kwa kuwa Imani ilikwisha saki ndani ya nyoyo zao. Wakamwambia: Hakika sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. Kwa hivyo tunaneemeka katika rehema yake na bora ya malipo yake.