Surat Al-Anfal, aya 8

8:8

لِيُحِقَّ ٱلۡحَقَّ وَيُبۡطِلَ ٱلۡبَٰطِلَ وَلَوۡ كَرِهَ ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٨

Liyuhiqqal-haqqa wayubtilal-bātila walaw karihal-mujrimūn

Ili ahakikishe Haki na auvunje upotovu na wangachukia wakosefu. 8

Maelezo ya chini

8 Ili athibitishe Haki, na auondoe upotovu, hata wakichukia makafiri ambao wamedhulumu Haki ya Mwenyezi Mungu na Haki ya Waumini na Haki ya nafsi zao wenyewe.