Surat Al-Anbiya, aya 70

21:70

وَأَرَادُواْ بِهِۦ كَيۡدٗا فَجَعَلۡنَٰهُمُ ٱلۡأَخۡسَرِينَ ٧٠

Wa arādū bihī kaydan faja'alnāhumul-akhsarīn

Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri. 70

Maelezo ya chini

70 Wao walitaka kumuangamiza, lakini Sisi tukamwokoa, na tukawafanya wao ndio watu walio khasiri mno.