Surat Al-Ahqaf, aya 7

46:7

وَإِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِمۡ ءَايَٰتُنَا بَيِّنَٰتٖ قَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لِلۡحَقِّ لَمَّا جَآءَهُمۡ هَٰذَا سِحۡرٞ مُّبِينٌ ٧

Wa idhā tutlā 'alayhim āyātunā bayyinātin qālal-ladhīna kafarū lil-haqqi lammā jā'ahum hādhā sihrum mubīn

Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru husema juu ya haki inapo wajia: Huu ni uchawi dhaahiri. 7

Maelezo ya chini

7 Na washirikina wakisomewa Aya zetu zilizo wazi wao husema, kwa ule ukafiri wao na inadi yao, bila ya kuzingatia, kuzisema hizo Aya: Huu ni uchawi dhaahiri!