Surat Al-Ahqaf, aya 2

46:2

تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ ٢

Tanzīlul-kitābi minallāhil-'azīzil-hakīm

Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 2

Maelezo ya chini

2 Hii Qur'ani imeteremka kutokana na Mwenyezi Mungu Mwenye kushinda kila kitu, Mwenye hikima katika ayatendayo.